February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu asisitiza uhamisho wa watumishi wa uma.

Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amesisitiza hakutakuwa na uhamisho kwa mtumishi yoyote aliyeharibu katika kituo chake cha kazi.