February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

VITA YA ISRAELI NA PALESTINA,BIDEN ATAKA ISITISHWE

Rais wa Marekani,Joe Biden amesema anaunga mkono kusitishwa kwa mapigano kati ya Israeli na wapiganaji wa Palestina na kujadili kuhusu nia hiyo ya Mrekani na Misri pamoja na washirika wengine

Biden amesema hayo katika mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,Ikulu ya White House imeeleza hata hivyo haikueleza majibu yaliyotolewa na Netanyahu kuhusu msimamo huo wa Biden.

Aidha Biden amerudia kuunga mkono haki ya taifa la Israeli kujilinda dhindi ya mashambulio ya roketi na kuihimiza kufanya jitihada za kuhakikisha ulinza wa rais wasio na hatia.