February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

VIONGOZI WAPYA NACONGO KITAIFA HAWA HAPA.

Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) limefanya uchaguzi leo Jijini Dodoma na kupata viongozi wapya watakaohudumu kwa muda wa miaka mitatu.Waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:

Mwenyekiti wa Baraza: Lilian Badi

Katibu Wa Baraza – Revocatus Sono

Muweka Hazina – John Kiteve

Wenyeviti  wa Kamati:

1.Kamati ya  Fedha -Gaidon Haule

2. Kamati ya Maadili – Novatus Marandu

3. Kujenga Uwezo – Rhobi Samwel                                                                                                                               4.Kamati ya  Mawasiliano.. Asifiwe Mallya

Wajumbe Wa Bodi.

i) Balthazar Komba

ii) Jane Magigita

iii) Paulina Majogoro

Ukumbi kulipofanyika uchaguzi