March 23, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

TUNDU LISSU KUZINDUA KITABU CHAKE NCHINI KENYA

Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu hii leo anazindua kitabu chake jijini Nairobi nchini Kenya baada ya kuwasili nchini humo hapo jana akitokea Ubelgiji anakoishi.

Tundu lissu yupo nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake cha Vivuli- Bunge na uwajibikaji kwa Afrika Mashariki.Kitabu ambacho kinaeleza historia ya mabunge ya Tanzania,Kenya na Uganda.

Mwanasheria wake Prof.George Wajackoya amesema uzinduzi wa kitabu hicho utafanyika jijini nairobi katika hoteli ya Windsor.