December 4, 2022

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

TRENI ZA UMEME ZAGONGANA MALAYSIA

Baadhi ya majeruhi

Treni mbili za chini ya ardhi zimegongana jana usiku Kuala Lumpur,Malaysia, na kusababisha abiria 213 kujeruhiwa, 47 kati yao wamejeruhiwa vibaya.
Waziri mkuu wa Malaysia Muhyiddin Yasin amesema kazi ya kuwaokoa na kuwatibu majeruhi inaendelea.