Leo ni Siku ya Mtoto wa Afrika, Leo tuangazie sababu za kuwepo kwa Maadhimisho haya kila Mwakwa, Mnamo Juni 16, 1971 zaidi ya wanafunzi 20,0000 wa Afrika Kusini kutoka katika mji wa Soweto walijitokeza mitaani – wakidai kufundishwa kwa lugha yao wenyewe. Maafisa wa polisi wenye silaha walijibu kwa kuua mamia ya wanafunzi hao waandamanaji. Tukio hilo lilipelekea kuwepo na mapumziko katika siku hii huko Afrika Kusini, na kuitambua siku hiyo kama Siku ya Kimataifa ya mtoto wa Afrika ulimwenguni. Siku hii inazingatia vizuizi vinavyowakabili watoto wa Kiafrika katika kupata elimu bora.
Je Unadhani ni vizuizi gani vinamkwamisha mtoto wa Afrika kufikia Malengo yake?
Habari Zaidi
ETHIOPIA: AJIUNGA CHUO KIKUU AKIWA NA MIAKA 69
MWANDAAJI MISS RWANDA KUFUNGULIWA MASHITAKA YA UHALIFU WA KINGONO
KENYA: ODINGA AMTEUA MARTHA KARUA KUWA MGOMBEA MWENZA WA URAIS