February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari

Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limesema kuwa kwa mwaka 2020 takribani waandishi wa habari 32 duniani pote wameuwawa kutokana na kazi wanazofanya.Kati ya hao 22 wamepoteza maisha kutokana na visasi kuhusu namna wanavyoripoti taarifa zao

Translation

The Committee to Protect Journalists said that Globally,atleast 32 journalists were killed due to their work in 2020 and out of them 22 were killed due to retaliation for their reporting