February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI

SABAYA KIZIMBANIAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya amefikishwa mahakamana ya hakimu mkazi Arusha hii leo ili kusomewa mashitaka yanayomkabili.

Sabaya alisimamishwa kazi na Rais Samia Suluhu kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili