February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

RAIS SAMIA ATEUA WAKUU WA MIKOA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa mbali mbali pamoja na watendaji wa Taasisi za kiserikali.