February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

RAIS SAMIA ATEUA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU NA MAHAKAMA YA RUFANI

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan hii leo amefanya uteuzi wa majaji wa mahakama kuu wapatao 21, Majaji 7 wa mahakama ya Rufaa, huku akimuongezea muda wa miaka 2 Jaji Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi mmoja wa majaji wa mahakama ya Rufani.