February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

ONESMO OLENGURUMWA AIPONGEZA TAASISI YA HAKI ELIMU

Na Antony Benedicto

Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameipongeza taasisi ya HakiElimu ambayo ni mwanachama wa THRDC kwa kuendelea kukuza Sekta ya elimu katika Taifa na kuzihasa baadhi ya taasisi na asasi za kiraia kuiga mfano wa HakiElimu.

Amesema ameamza kuwa mdau wa taasisi ya HakiElimu tokea akiwa chuoni mpaka sasa ambapo imeadhimisha miaka 20 tokea
ilipoanzishwa rasmi mwaka 2001.