February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

OLENGURUMWA BUNGENI

Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC ), Onesmo Olengurumwa (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wabunge wa viti maalumu ,Neema Lugangira (kushoto) na Fatma Toufiq (kulia) ambao wote wametokea kwenye uzao wa Asasi za Kiraia

Onesmo Olengurumwa amehudhuria bunge hii leo Mei 24,2021 kwa ajili ya shughuli za kiofisi akiwa kama mgeni wa Mh. Fatma Toufiq ambaye pia ni muanzilishi wa shirika la WOMEN WAKE-UP (WOWAP) ambalo pia ni mwanachama wa Mtandao kutoka kanda ya kati.