February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

NAIBU SPIKA DR. TULIA AUTAKA USPIKA, ACHUKUA FOMU KUMRITHI NDUGAI

Na Antony Benedicto

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amechukua fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakumbukuwa ni siku chache baada ya aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai kujiudhulu ambapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kwa mchakato wa kichama kwa wanaotaka kuchukua fomu ili kuwania nafasi hiyo.