February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

MICROSOFT YACHUNGUZA TUHUMA ZA KUCHEPUKA KWA BILLGATES

Tajiri nambari nne duniani na mwanzilishi wa kampuni ya microsoft,Bill Gates anakabiliwa na tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwajiriwa wa Kampuni ya Microsoft.

Bodi ya wakurugenzi wa Kampuni hiyo imefanya uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma hizo kwa kushirikiana na kampuni moja ya uwakili.

Hata hivyo imeeleza kuwa bado haijafikia muafaka kwani tajiri huyo alijiuzulu Uenyekiti wa Bodi hiyo kabla ya uchunguzi kukamilika.

Hivi karibuni Bill Gates alitangaza kuachana na mkewe Melinda Gates baada ya kudumu katika ndoa kwa zaidi ya miongo miwili.

Duru za kuaminika zinasema kuwa Kimada huyo wa Bill Gates alikuwa akitaka mahusiano yao kuwekwa wazi kwa Melinda