February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

MAMA AMSHITAKI MWANAYE WA KUMZAA

Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Sabira Mohamed ameshangaza umma Baada ya kumshitaki na kutaka Serikali imfunge gerezani mwanaye wa Kumzaa, hii ni baada ya Kijana huyo Kudaiwa kuwatesa watoto wake wa kuwazaa, yaani wajukuu wa mama huyo.

Pamoja na Sabira kutoa mashtaka mahakamani na kesi kuamuliwa anakiri kutopewa haki yake ya msingi katika shauri hilo, Watetezi TV imezungumza na Sabira kubaini undani na chanzo cha kisa hicho.

USIKOSE KUFUATILIA KISA HIKI KUPITIA WATETEZI TV …