February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEKUWA BOSI MSD

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) ,Laurean Bwanakunu na aliyekuwa Mkurugenzi wa Logistik,Byekwaso Tabura baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP),Biswalo Mganga kutoonyesha nia ya kuendelea na kesi hiyo

Bwanakunu na mwenzake walikuwa wakikabiliwa na mashitaka matano ikiwemo kusababishia MSD hasara ya Shilingi Bilioni 3.8 na kutakatisha fedha kiasi cha shilingi Bilioni 1.6.

Aidha kati ya Julai 2016 na Juni,30,2019 katika maeneo ya jiji la Dar es salaam na maeneo mengine nchini Tanzania, Bwanakunu alidaiwa kuendesha genge la uhalifu pamoja na matumizi mabaya ya ofisi

TRANSLATION

The Kisutu Resident Magistrate has Today 13th May,2021 been acquitted Formed Medical Stores Department  (MSD) Director-General,Laurean Bwanakunu and The Director of Logistics,Mr Byekwaso Tabura after the Former Director of Public Prosecution (DPP),Biswalo Mganga showed no interest continuing with the case

Bwanakunu and Tabura were faced with five charges including Money Laundering of  1.6 Billion and causing department with 3.8 Billion loss

Also between July 2016 and June 2019,Bwanakunu while he was in Dar es salaam and other areas within Tanzania was accused that he intentionally led a criminal gang and he also faces charges of abuse of power