February 3, 2023

Watetezi Media

Official Website for Watetezi Media

GWAJIMA AJA NA JIPYA BAADA YA KUKATAA KUKALIA KITI ALICHOANDALIWA NA KAMATI YA MAADILI

Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima na mbunge wa jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM akiomba kubadilishiwa kiti alichoandaliwa kukaa wakati kikao cha kuhojiwa na tayari kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu tuhuma za kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge jijini Dodoma leo

Gwajima akikalia Kiti alichokihitaji
Kikao cha Kamati ya Maadili tayari Kujadili swala la Gwajima
Gwajima Kikaoni